Nakusalimu mpendwa msomaji kupitia jina le Yesu Kristo!
Kitabu cha "SECRETS FOR A HAPPIER LIFE: A Bed of Thorn-less Roses" sasa kimetafsiriwa katika lugha ya Kiswahili na sasa kinaitwa, "SIRI YA NDOA YENYE FURAHA".
Unaweza kukinunua kitabu hicho moja kwa moja kutoka kwetu. Utatakiwa kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa simu kisha utatuma ujumbe mfupi wa maneno katika namba uliyofanyia malipo ukitaja majina yako na anuani ya barua pepe (email) ambapo tutakutumia kitabu chako cha PDF kupitia barua pepe ndani ya dakika 30 baada ya kuthibitisha malipo.
kitabu cha PDF unaweza kukisoma katika kifaa chako kama simu ya mkononi, kompyuta ama tablet wakati wowote na sehemu yoyote bila kuhitaji mtandao wa intaneti.
Gharama ya kitabu ni Tsh. 5000/- tu. (Tuma kiasi hicho tu, usiongeze hela ya kutolea).
Lipa kwa M-pesa namba: 0755750050 (Vitus)
Lipa kwa Tigo-pesa namba: 0673330886 (Conjester)
Baada ya malipo tuma ujumbe ukieleza kuwa umefanya malipo ya kitabu "SIRI YA NDOA YENYE FURAHA" katika namba uliyofanyia malipo.
Ujumbe wako wa simu uwe na jina la mlipaji na anuani ya barua pepe basi.
Nakuthibitishia, utapokea kitabu chako kupitia anuani ya barua pepe ndani ya dakika 30 tu.
Bonyeza HAPA ili uweze kupakua YALIYOMO ndani ya kitabu cha "SIRI YA NDOA YENYE FURAHA"