Front cover of the book |
BOOK TITLE: SECRETS FOR A HAPPIER MARRIAGE: A Bed of Thorn-less Roses
MARKETING: Amazon.com
PRICE: 2.99 USD for ebook and 7.50 USD for paperback
BOOK LAUNCHING DATE: 24/09/2018
GET YOUR COPY AS EARLY AS POSSIBLE...IT IS A POWERFUL TRANSFORMING BOOK WHICH IS GOING TO CHANGE YOUR COURTSHIP OR MARITAL RELATIONSHIP AND FAMILY IN GENERAL TO A GARDEN OF LOVE FULL OF CARE AND RESPECT, IN JESUS NAME. AMEN.
In this book; meaning and purpose of marriage, courtship and marriage, marital conflict, prevention and their solutions, godly parenting and anchoring of marriage and family to God through Jesus Christ are well discussed/clarified.
KISWAHILI
JINA LA KITABU: SECRETS FOR A HAPPIER MARRIAGE: A Bed of Thorn-less Roses
KITAKAPOUZWA: Amazon.com
GHARAMA KWA KITABU KIMOJA: 6500 TSh kwa nakala inayosemeka kwa kutumia simu, tablet ama laptop na 16500 TSh kwa kitabu cha karatasi (ukilipia kitabu hiki, inachukua siku mbili hadi tatu kukufikia).
SIKU YA KUTOKA: 24/09/2018
PATA NAKALA YAKO MAPEMA IWEZEKANAVYO...NI KITABU CHENYE NGUVU YA MABADILIKO, KITAKACHOBADILI UHUSIANO WAKO WA UCHUMBA, NDOA NA FAMILIA NA KUUFANYA KUWA BUSTANI YA UPENDO ILIYOJAA KUJALI, KUHESHIMIANA NA KUTHAMINIANA KATIKA MUNGU.
Ndani ya kitabu hiki; maana na makusudi ya ndoa, uchumba na ndoa, migogoro ya mahusiano na namna ya kuitatua na kuiepuka, malezi ya Kimungu ya watoto na namna ya kusimika uchumba, ndoa na familia yako kwa Mungu vimeongelewa kwa kina kwa kutumia lugha rahisi zaidi ili kurahisisha uelewa.