Thursday, September 13, 2018

MEGA PRICE DISCOUNT (PUNGUZO KUBWA LA BEI)

ENGLISH 

Greetings world!

Now you can buy one of our books (YOU CAN DO BETTER THAN MURDER-SUICIDE: The Love of God is Sufficient); ebook or paperback for an affordable price. 

Buy an ebook for 4.0 USD only (save 52.9%) and buy its paperback for 8.0 USD only (save 40.7%). 

During your purchase, don't forget to leave us with your constructive review(s). 

Thank you for support and purchase. May the Almighty God bless you abundantly, in Jesus name. Amen. 


SWAHILI

Salaam!

Sasa unaweza kununua moja ya vitabu vyetu (YOU CAN DO BETTER THAN MURDER-SUICIDE: The Love of God is Sufficient); "softcopy" na "karatasi" kwa bei nafuu zaidi kuimudu.

Nunua "softcopy" kwa TSh. 8800/- tu (punguzo la asilimia 52.9) na "karatasi" kwa TSh. 17600/- tu (punguzo la asilimia 40.7).

Ununuapo mojawapo ama vyote katika kitabu hii, usisahau kuacha maoni yako chanya ili kututia moyo, kuimarisha na kuboresha kazi zetu zaidi.

Asante kwa kutuunga mkono na kununua. Mungu mwenye uweza akubariki zaidi, kupitia Jina la Yesu Kristo. Amina

No comments:

Post a Comment

Featured Post

HAIJALISHI TUNAKOSEA MARA NGAPI? MUNGU NI MUAMINIFU KILA WAKATI

Nakusalimu kupitia Jina kuu lipitalo majina yote, Jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu. Mungu wetu ni muaminifu, hajawahi kuse...

Popular Posts