Nakusalimu kupitia Jina Kuu la Yesu Kristo!
Napenda kutumia fursa hii kuwatangazia kwa furaha kuwa kitabu chetu kiitwacho, "YOU CAN DO BETTER THAN MURDER-SUICIDE: The Love of God is Sufficient" sasa kinapatikana kupitia mtandao wa Amazoni na kinauzwa kwa bei rahisi kabisa ambayo kila Mtanzania anaweza kuimudu.
Unaweza kukifikia kitabu hicho kwa kubonyeza LINK HII
Kitabu hiki kinahusu kuwatia moyo na nguvu watu wanaokata tamaa ya kuishi na kudhani kujiua ama kuua wengine na hata kujiua wao pia ndiyo njia sahihi ya kumaliza matatizo yanayowakabili na kuwaandama. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa na watumishi wa Mungu kama wachungaji, wainjilisti na hata walimu kwa ajili ya kuwafanyia "cancelling" washirika wao wanapopitia katika mazito yanayopelekea wakate tamaa ya maisha. Kitabu hii kinaweza kutumiwa na wanasaikolojia pia ili kuwashauri watu wote wenye matatizo ya kisaikilojia.
"Currently there is an upsurge of killings; murder and/or suicide. Broken
hearts and depressions are significantly associated with these
killings. People become heartbroken or depressed when the love of other
humans fails, when they get those thoughts or feelings of being isolated
and neglected. Trying to win others love and find that it is impossible
they get thoughts of dying or killing. These thoughts may persist for
long term even up to two years before the responsible person commits
either murder or suicide or both. These people become limited or blinded
only to see love from the people they need to be loved with. They never
see the love from other people; parents, friends, children even
neighbors. Honestly there are a lot of people around every person to
love and care. However, when we think that we get no love or care from
people around us, the love of God is always around to shelter us. This
book is going to teach you to find the love of God when you think no one
around you loves you anymore. This love of God you are about to find
will always fills you sufficiently so that you are going to conquer all
of your depression and win the broken heart. This love will give you no
reason to commit murder, suicide or both. The love will give you
strength to see the positive side of life, reasons to enjoy this gift of
life and see the blessings of God in whatever the tribulation is facing
you."
Kikipata kitabu hiki, bonyeza HAPA
Asante kwa kutuunga mkono katika huduma hii kwa kuchangia kupitia ununuzi wa kitabu hiki, Mungu akubariki sana. Amina.
No comments:
Post a Comment