Bwana Yesu asifiwe, mpendwa msomaji wetu!
Tunakusalimu kupitia Jina la Yesu Kristo, Jina liponyalo na liokoalo. Amina.
Tunapenda kuwajulisha wasomaji wetu wote kuwa, baada ya kimya cha miaka takribani miwili sasa tunarudi tena hewani kwa nguvu mpya katika Jina la Yesu Kristo. Tegemea kubarikiwa, kukutana na Mungu na hata kupokea uponyaji kwani Yesu Kristo tumuaminiye hashindwi na jambo ikiwa imani yetu haiteteleki.
Jiandae na somo lenye kichwa, "MWANZO MPYA WA MILELE NDANI YA YESU KRISTO". Ni somo litakalokwenda kuimalisha maisha yako ya kiroho na kuinua imani yako zaidi kwa utukufu wa Mungu mwenyewe. Usikose!!!
Mungu wa mbinguni aishiye milele, akubariki sana. Amina.
For God so loved the world that He gave His only begotten Son, that whoever believes in Him should not perish but have everlasting life. John 3:16
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
HAIJALISHI TUNAKOSEA MARA NGAPI? MUNGU NI MUAMINIFU KILA WAKATI
Nakusalimu kupitia Jina kuu lipitalo majina yote, Jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu. Mungu wetu ni muaminifu, hajawahi kuse...
Popular Posts
-
UTANGULIZI UTATU MTAKATIFU WA MUNGU (THE HOLY TRINITY OF GOD) Mungu ni nani? Mungu ni Roho takatifu aliyekuwapo milele i...
-
Nakusalimu mpendwa katika Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo Utangulizi Siku ya leo, Mungu anatufundisha somo lenye kichwa, “Nguvu ...
-
YESU KRISTO ASIFIWE! Mpendwa msomaji wangu, siku ya leo tunaanza semina yetu ya mtandaoni ambayo tutatembea nayo kwa muda wa wiki z...
No comments:
Post a Comment